Wajanja Classic
Friday, September 4, 2015
Hii ndio sababu iliyomfanya Justin Bieber adondoshe machozi kwenye usiku wa MTV VMA’s 2015.
Baada ya kuweka headlines nyingi usiku wa tuzo za MTV VMA’s mwaka huu na show iliyoisha kwa machozi, Justin Bieber kaamua kuzungumza sababu zilizompelekea kuangusha machozi akiwa katikati ya show yake ya MTV VMA’s 2015 jijini Los Angeles Marekani.
Siku ya Jumatano msanii huyo wa R&B Pop alialikwa kwenye kipindi cha ‘The Tonight Show’ cha Jimmy Fallon kuzungumzia maisha yake,video yake mpya pamoja na tukio lililotokea usiku wa MTV VMA’s siku ya jumapili August 30.
Justin Bieber kwenye kipindi cha The Tonight Show siku ya Jumatano 04 September 2015.
>>>“Nilifurahi kupita kiasi, nimefanya utoto mwingi hapa kati kati na wala sikutegemea kama watu wangeonyesha support kubwa sana kwangu siku ile kwa sababu mara ya mwisho mimi kuperform kwenye show nilizomewa sana nikajisikia vibaya”. <<< Justin Bieber.
Justin Bieber alikiri kuwa alikuwa mkorofi bila sababu za msingi, aliwakwaza wengi na alichukulia vitu vingi sana poa kiasi cha yeye kusahau tarehe ya uzinduzi wa moja ya album zake hivyo alihisi kuwa akirudi jukwani watu hawatampokea vizuri na pengine wengi wanamchukia.
Baada ya interview hiyo Justin Bieber alitoa live performance ya wimbo wake mpya ‘What Do You Mean’.
Wednesday, August 13, 2014
Wednesday, January 15, 2014
Hii ni taarifa ya kusikitisha inayomuhusu Rich Mavoko.
Tuesday, October 29, 2013
BONGO MOVIE WAMTENGA WEMA MSIBA WA BABA YAKE.
KATIKA hali isiyotarajiwa katika wasanii wanaounda kundi la Bongo movie wamejikuta wakijitenga kushiriki msiba wa Baba mzazi wa msanii mwenzao Wema Isack Sepetu, baada ya kuundwa zengwe na mmoja wa watu wenye ushawishi katika kundi hilo, Wema akiongea kwa uzuni amesema kuwa hata wale waliofika jana katika msiba huo hawakufika kwa ajili ya kumfariji bali walifika kwa ajili ya kumsanifu. FC ilifanya utafiti ili kubaini hilo kwa kuwapigia simu baadhi ya wasanii wanaotoka katika kundi hilo nao bila kusita kwa masharti ya kutotajwa majina walitiririka kwa kusema kuwa ni kweli uongozi wa kundi hilo umetoa agizo watu wasishiriki kutokana na tabia ya msanii huyo kutoshiriki katika misiba ya wasanii wenzake.
“Ni kweli hilo lipo na lina ukweli kwa njia moja au nyingine Wema bwana huwa hashiriki katika misiba ya wasanii wenzake, kuna mtu muhimu sana na ana sauti katika kundi la Bongo Movie amesema kuwa katika misiba iliyotokea ameshiriki misiba miwili tu, wa marehemu Sharo na Kanumba kwa sababu alikuwa mtu wake,”anasema kijana huyo.
Hili si jambo la kulifurahia kwa wasanii kwani halijengi bali linaleta mgawanyiko wa moja kwa moja, msanii mwingine alikiri kuwa Wema anabagua kushiriki misiba kwani wakati amefariki marehemu John Maganga alipigiwa simu ili ashiriki katika msiba lakini alisema yupo Location, hivyo wasanii wenzake wanamtenga ili aone umuhimu wa kushiriki misiba ya wenzake.
Jana jioni nyumbani hakukuwa na wasanii zaidi ya mtangazaji wa kipindi cha Take One Zamaradi Mketema akiwa na Rais wa shirikisho la wasanii Simon Mwakifwamba na waombolezaji wengine, huku baadhi ya wasanii wakifika pale na kuondoka jambo ambalo Wema alilitafsiri kama walifika pale kutoa lawama ili asiwaone kama hawajafika lakini hawakuwa na dhamira ya kweli mioyoni mwao.
Monday, October 28, 2013
Diamond afanya collabo na Davido
Muziki wa Afrika mashariki ulikuta na muziki wa Afrika Magharibi kwa mara nyingine baada ya Davido na Diamond kuingia studio na kufanya remix ya wimbo My number one. Wimbo huo wali-perform kwa mara ya kwanza kwenye show ya fiesta iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders club.Bado taarifa za uwezekano wa wawili hao kufanyia video huo wimbo hazijatokaShow ya pamoja kati ya Diamond na Davido ilikuja baada ya show kali aliyofanya Davido ambayo ilivutia wapenzi wengi wa muziki waliofika kwenye uwanja wa Leaders kwa ajili ya kuangalia performance za wasanii ambao hawakuweza kupanda usiku wa Jumamosi.
Saturday, October 19, 2013
WEMA SEPETU NA DIAMOND SASA PENNY NAYE ALIPA KISASI!!
KANISA LAGOMA KUMZIKA MUME WA UFOO SARO....LADAI KIFO CHAKE KINA UTATA..!!
Familia ya Anthery Mushi, aliyejiua kwa kujipiga risasi Jumapili iliyopita baada ya kumuua kwa risasi mkwewe, Anastazia Saro, amezikwa bila huduma ya kikanisa kijijini kwao Ongoma.
Kanisa Katoliki, Parokia ya Uru ilishindwa kutoa huduma hiyo kutokana na mazingira ya kifo chake.
Licha ya hali hiyo kujitokeza, familia hiyo, ilionyesha nia yake ya kwenda kumuangukia Paroko wa Parokia wa Kanisa hilo, ili aridhie familia ya Anthery, isome misa maalumu ya kuomba ndugu yao afutiwe dhambi inayomkabili.
Mushi (40), alijipiga risasi baada ya kumuua mkwewe na kumjeruhi mzazi mwenziwe Ufoo Saro, mtanzangazi wa kituo cha televisheni cha ITV, eneo la Kibamba CCM, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Wakati familia ya Mushi ikiazimia hilo, kiongozi aliyeteuliwa na familia kufanya ibada ya maziko, baba mdogo wa Mushi, Ugolin Mushi alisema kuwa Watanzania wanapaswa kutomhukumu kwa alichokitenda na kwamba imetosha kwa kuwa kinachoelezwa kila kona ya nchi baada ya tukio hilo ni sawa na mbu kubadilika na kuwa tembo.
“Sisi ni nani hadi tumhoji Mwenyezi Mungu juu ya kilichotokea maana mbu anaweza kubadilika na kuwa mkubwa kama tembo kutokana na habari zinazotangazwa.
"Anayejua ukweli huu ni Anthery na Mungu wake…Lakini Mungu amsamehe makosa yake wakati wa vita na wakati wa amani, wakati wa kuhifadhi na wakati wa kutupa na akafurahi na malaika huko aendako,” alisema.
Hata hivyo, mtoto wa marehemu, Alvin Anthery, ambaye amezaa na Ufoo, hakuweza kumzika baba yake kutokana na sababu zisizojulikana.
Hali ilikuwa tulivu nyumbani kwa marehemu Kijiji cha Ongoma, Uru Kaskazini, tofauti na matarajio ya wengi baada ya kuwasili kwa mwili huo usiku wa kuamkia jana, ingawa mamia ya wakazi wa Uru walifurika kushuhudia mazishi ya Anthery ambaye amelitikisa taifa kwa siku kadhaa kutokana na tukio la mauaji Oktoba 13, kugonga vichwa vya habari.
Juzi, familia ya Anthery, ilinukuliwa wakati wa kuuaga mwili wake katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN), ikiliomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kutokana na ndugu yao kukutwa na risasi mbili.
Mwili wake baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ulikutwa na risasi mbili, moja ikiwa kwenye ubongo na nyingine kwenye jeraha lililo pembeni ya sikio.
Licha ya kanisa kutotoa huduma ya ibada ya mazishi ya Anthery, watawa wa kanisa waliohudhuria katika msiba huo walishindwa kuendesha ibada kutokana na taratibu za kanisa.
Alicho-post Wema Sepetu kwenye Instagram kinachomhusu Diamond
Wema Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha. Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba muda wote anafikiria pesa. Unaionaje hiyo picha?
Wednesday, October 16, 2013
MWANAMKE MWENYE UKIMWI AIBA MTOTO WA JIRANI YAKE NA KWENDA KUMNYONYESHA
Mwanamke mmoja mzimbabwe ambaye alimnyonyesha mtoto wa jirani yake bila kibali/ruhusa ya mama yake anakabiliwa na miaka miwili gerezani kwa kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi kwasababu yeye ni mwathirika.
Mwanamke mwingine Annie Mpariwa (39) alifika mahakama ya Gaborone jumatano na kesi ilipangwa october 24 ili wafanye vipimo vya HIV kwa mara ya pili kwa mtoto huyo.
Vipimo vya kwanza vilionyesha kuwa mtoto hajaathirika.
Mpariwa alikamatwa wiki iliyopita kwa kufanya kosa dogo kwa makusudi (ambalo ni kumnyonyesha mtoto bila kibali kutoka kwa mama yake) ila mtoto akipimwa kwa mara ya pili na kukutwa ni mwathirika adhabu itaongezwa na kuwa ya 'kumwambukiza mtu mwingine HIV makusudi'.
Mama wa mtoto huyo mwenye miezi 14 alisema kumuona jirani yake akimnyonyesha ilikuwa ni jambo la kushitusha sana kwake.
Aliendelea kusema kuwa jirani yake alimchukua mtoto wake aliyekuwa nje na kwenda kumficha chumbani kwake alikokuwa amepanga. Baada ya kumtafuta mtoto wake kwa muda mrefu,alienda kugonga hodi kwenye chumba cha Mpariwa lakini hakujibiwa.
Alipochungulia dirishani alimuona jirani yake huyo ambaye ni mwathirika wa ukimwi akimnyonyesha mtoto wake.
"Nilipochungulia dirishani nilimuona akimnyonyesha mtoto wangu.Nilipata mshituko mkubwa karibu nizimie",aliongezea kusema kwamba maziwa ya jirani huyo yalikuwa bado yanavuja na inashangaza kwasababu kwa muda huo yeye hakuwa na mtoto ambaye anamnyonyesha(hakuwa mzazi) wala hakuwa mjamzito.
Tukio hilo limekuja kwenye mwamko wa sheria mpya zilizowekwa kuhusu HIV na AIDS ambazo zimekuja na adhabu kali kwa wale wanaowaambukiza wenzao virusi vya ukimwi makusudi.
Ila jamani kuna watu wakatili kweli duniani,sasa jirani alikuwa anataka amwambukize ili iweje? Au anapata faida gani? Such an innocent child,kafanya nini to deserve such a bad,horrifying and unbearable thing on her life(HIV)? Kwanini watu hawana huruma siku hizi?!! Inasikitisha sana.....
Mwanamke mwingine Annie Mpariwa (39) alifika mahakama ya Gaborone jumatano na kesi ilipangwa october 24 ili wafanye vipimo vya HIV kwa mara ya pili kwa mtoto huyo.
Vipimo vya kwanza vilionyesha kuwa mtoto hajaathirika.
Mpariwa alikamatwa wiki iliyopita kwa kufanya kosa dogo kwa makusudi (ambalo ni kumnyonyesha mtoto bila kibali kutoka kwa mama yake) ila mtoto akipimwa kwa mara ya pili na kukutwa ni mwathirika adhabu itaongezwa na kuwa ya 'kumwambukiza mtu mwingine HIV makusudi'.
Mama wa mtoto huyo mwenye miezi 14 alisema kumuona jirani yake akimnyonyesha ilikuwa ni jambo la kushitusha sana kwake.
Aliendelea kusema kuwa jirani yake alimchukua mtoto wake aliyekuwa nje na kwenda kumficha chumbani kwake alikokuwa amepanga. Baada ya kumtafuta mtoto wake kwa muda mrefu,alienda kugonga hodi kwenye chumba cha Mpariwa lakini hakujibiwa.
Alipochungulia dirishani alimuona jirani yake huyo ambaye ni mwathirika wa ukimwi akimnyonyesha mtoto wake.
"Nilipochungulia dirishani nilimuona akimnyonyesha mtoto wangu.Nilipata mshituko mkubwa karibu nizimie",aliongezea kusema kwamba maziwa ya jirani huyo yalikuwa bado yanavuja na inashangaza kwasababu kwa muda huo yeye hakuwa na mtoto ambaye anamnyonyesha(hakuwa mzazi) wala hakuwa mjamzito.
Tukio hilo limekuja kwenye mwamko wa sheria mpya zilizowekwa kuhusu HIV na AIDS ambazo zimekuja na adhabu kali kwa wale wanaowaambukiza wenzao virusi vya ukimwi makusudi.
Ila jamani kuna watu wakatili kweli duniani,sasa jirani alikuwa anataka amwambukize ili iweje? Au anapata faida gani? Such an innocent child,kafanya nini to deserve such a bad,horrifying and unbearable thing on her life(HIV)? Kwanini watu hawana huruma siku hizi?!! Inasikitisha sana.....
Thursday, October 10, 2013
BASI UNAAMBIWA HUYU NDO MSANII WA COMEDI ANAYEONGOZA KWAKUWEKA PICHA ZA AJABU MTANDAONI
Mwanadada anaejulikana kwa jina la EFReUNCINA Anaejishuhurisha na shuhuri za kuchekesha kwenye INYE NDEMWENDENBWE amekuwa mtu wakutupia picha za hasara hasara kwenye mtandao wa facecook kwa muda mrefu sana. bila yakuangalia maumbe yake yalivyo. akiongea na blog hii ya burudani mmoja wa marafiki wa dada huyo amesema niliandika coment kwenye picha hii lakini alifuta dada huyu niliandika tangu uanze kuweka picha fb umepata mabwana wangapi mana kila siku unaweka na hakuna jipya. hakujibu na matokeo yake alifuta coment hiyo.
DIAMOND na WEMA SEPETU ndani ya movie hii "TEMPTATIONS"
Leo ilikuwa kama gumzo katika account ya Instagram baada ya kuonekana picha hizi Diamond akiwa na Wema Sepetu pande za China. Mengi yalisemwa hadi wengine kudiriki kumtukana Penny ambaye ndio wa Diamond lakini ukweli ni kwamba hii ni movie mpya kabisa iliyochezwa na Diamond akiwa na Wema Sepetu na hakuna kingine kinachoendelea tena hapa ni kazi tu.
Namnukuu Diamond akiyasema maneno haya
Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote?
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana
Mnapenda kuona watu wanauadui... nimuda
wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania
na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA.
P-SQUARE KUTUA BONGO NOV- 23-2013
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasilino wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati wa kutangaza ujio wa wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Peter na Paul Okoye maarufu kama P – square kutoka nchini Nigeria chini ya udhamini wa Vodacom Tarehe 23 Mwezi ujao. Wasanii hao wataambatana na wasanii wengine 13 kutoka nchini humo. Pamoja nae katika picha ni Mtangazaji wa East Afrika Radio, Hillary Daudi (Zembwela).
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasilino wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza ujio wa wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Peter na Paul Okoye maarufu kama P – square kutoka nchini Nigeria chini ya udhamini wa Vodacom, watakaowasili Tarehe 23 Mwezi ujao. Wasanii hao wataambatana na wasanii wengine 13 kutoka nchini humo. Pamoja nae katika picha ni Mtangazaji wa East Afrika Radio, Hillary Daudi (Zembwela).
Mtangazaji wa East Afrika Radio, Hillary Daudi (Zembwela)akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza ujio wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya Peter na Paul Okoye maarufu kama P – Square kutoka nchini Nigeria pamoja na mdhamini Mkuu,Tarehe 23 Mwezi ujao ndipo watawasili nchini. Wasanii hao wataambatana na wasanii wengine 13 kutoka nchini humo. Pamoja nae katika Picha ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasilino wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa ambo ndio wadhamini wa onesho hilo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa wazungumzaji Mtangazaji wa East Afrika Radio, Hillary Daudi (Zembwela). Na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasilino wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa , wakati wa Kutangaza ujio wa wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Peter na Paul Okoye maarufu kama P – square kutoka nchini Nigeria, Tarehe 23 Mwezi ujao. Wasanii hao wataambatana na wasanii wengine 13 kutoka nchini humo.
Dar es Salaam 10 Oktoba 2013 …… Kama ni siku ambayo inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wa muziki basi ni Novemba 23 ambapo wasanii Mapacha Petter na Paul Okoye,wanaojulikana kama “P – Square” watatoa burudani ya karne katika viwanja vya leaders Club jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.
Wasanii hao kutoka nchini Nigeria kwa sasa wanatamba na kibao chao cha Personally wameendelea kukonga nyoyo za wapenda burudani ndani na nje ya bara la Afrika huku matamasha yao yakivutia mamia ya mashabiki na kupata mapokezi makubwa kila wanafanya tamasha.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Hyatt jijini Dar, Hillary Daudi wa East Afrika Radio, Amesema onesho hilo litakuwa la kipekee. P- Square wataongozana na wasanii wengine 13 ambao watatoa burudani ya Live Band siku hiyo. Pamoja na wasanii wengine kutoka Tanzania.
“Wote tunatambua namna kundi hili linavyofanya vizuri ndani na nje ya bara la Afrika, licha ya kutoa burudani kwa mashabiki, pia litatoa fursa kwa wasanii wa ndani kujifunza kutoka kwa wasanii hawa vijana ambao wamepata mafanikio makubwa kutokana na kazi yao ya muziki,” alisema na kuongeza “hii itakuwa ni fursa ya kipekee kwa wasanii wetu wa bongo kujifunza kwa kuangalia wenzao wanavyofanya kazi”.
Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa, ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho hilo amesema Vodacom inafurahi kuendelea kuwa sehemu ya kutoa burudani kwa jamii ya Watanzania na safari hii ikiwaleta wasanii ambao ni kipenzi cha Watanzania wengi.
“Siku zote Vodacom imeendelea kuwa chaguo la kwanza kwa Watanzania, kuanzia katika burudani na hata huduma nyingine za mawasiliano na kijamii. Tunaendelea kuunga jitihada za kuwainua wasanii wetu wa ndani kwa kuwapatia fursa ya kujifunza kutoka kwa wasanii wenzao wakubwa waliofanyikiwa kufanya kazi zao Kimataifa.” Alisema Twissa na kuongeza
“Kwa wateja wa Vodacom ambao pia ni mashabiki wa wasanii hawa ambao wanatamba na kibao chao kitamu cha ‘Personally’ kwa sasa wanayo fursa ya kufurahia nyimbo hizi kwa kuzidownload au kuzitumia kama miito ya simu (RBT) na kuweza kujishindia tiketi za onesho hilo. Natoa wito kwa Watanzania wapenda burudani kutembelea ukurasa wetu wa Facebook na Twitter kwa taarifa zaidi na kujua namna ya kujishindia tiketi za onesho hilo.
Tamasha hilo linalo ratibiwa na East Afrika Radio na TV na kudhaminiwa na kampuni ya Vodacom Tanzania Linatarajiwa kuwa la kihistoria katika burudani ya muziki wa kizazi kipya nchini.
HUU NDIO USHAHIDI TOSHA WA IRENE UWOYA NA MANAIKI SANGA WAKIFANYA YAO MAFICHONI TENA USIKU:
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya aibu mastaa wa kike wa bongo movie wanatuhumiwa kujipigisha picha na msanii aliyejipatia umaarufu nchini Kwa kupiga picha akiwa na wanawaku za utupu ..
Sasa aibu imeingia kwa mwanadada wa bongo movie ambaye amejitangaza kwa kuacha kuigiza "IRENE UWOYA"
.....CHEKI HIZI PICHA IRENE UWOYA AKIWA FARAGHA NA MANAIKI HUKU IRENE UWOYA AKINYONYWA SHINGO NA KUTOMASWATOMASWA NA KULEGEA KIMAHABA....
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya aibu mastaa wa kike wa bongo movie wanatuhumiwa kujipigisha picha na msanii aliyejipatia umaarufu nchini Kwa kupiga picha akiwa na wanawaku za utupu ..
Sasa aibu imeingia kwa mwanadada wa bongo movie ambaye amejitangaza kwa kuacha kuigiza "IRENE UWOYA"
.....CHEKI HIZI PICHA IRENE UWOYA AKIWA FARAGHA NA MANAIKI HUKU IRENE UWOYA AKINYONYWA SHINGO NA KUTOMASWATOMASWA NA KULEGEA KIMAHABA....



HATIMAE AGNESS MASOGANGE ARUDI TANZANIA
Ikiwa ni wiki chache toka kesi ya video vixen Agnes Gerald a.k.a Masogange ya kutuhumiwa kusafirisha dawa za kulevya kuisha kwa kulipa faini nchini Afrika Kusini na kuwa mtu huru, hatimaye jana Jumanne amerejea nyumbani Tanzania
Udaku Special
Kupitia Instagram jana Agnes alipost picha (hapo juu) akiwa uwanja wa ndege na kuandika “am cmng homeeeeeeeee”.
Mwishoni mwa mwezi uliopita (September) mrembo huyo aliachiwa huru pamoja na mdogo wake Melissa Edward ambaye mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, Afrika Kusini ilimuachia huru baada ya kukosa ushahidi wa kumtia hatiani.
RAY C "UZURI WANGU UPO NDANI YA MAPAJA YANGU NA SIHANGAIKI NA DAWA ZA KICHINA"
Huyu ni Msanii mkongwe maarufu kwa jina la Ray C ambaye leo hii ameamua kuyanadi mapaja yake akidai kwamba hiyo ndo sehemu muhimu ya mwili wake...Kila mwanamke ana mvuto wake, wapo wanaojivunia nyuso zao zenye macho yaliyoumbwa yakaumbika, nyuso zisizo na chunusi wala aina yoyote ya kovu...Wapo pia wanaojivunia makalio yao na sote tumekuwa tukishuhudia jitihada mbali mbali za akinadada za kujitengenezea makalio ya bandia ( ya kichina ) ili kujiongezea mvuto kwa wanaume.
Hali ni tofauti kidogo kwa msanii Ray C.Yeye anaamini kwamba mapaja ndo kila kitu na kwamba ni hicho kigezo muhimu kinachoangaliwa na wanaume wengi wa siku hizi...
"Nani asiyejua kwamba kuna makalio ya kichina? Umewahi sikia wapi mapaja ya kichina?..Haya tunayo wachache ambao tumejaliwa na muumba wetu".Hii ni kauli ya Ray C alipokuwa akipiga stori na mpekuzi wetu.
Akongelea kuhusu afya yake kwa ujumla, Ray C amewashukuru kwa mara nyingine watanzania wote waliokuwa naye wakati wa akiwa mgonjwa."Sitachoka kuwashukuru watanzania wenzangu ambao walikuwa pamoja nami pindi nikiwa mgonjwa. Nguvu zangu kwa sasa nimezielekeza katika kuiimarisha afya yangu na ndo maana unaniona niko hivi kwa sasa.
"Haikuwa kazi nyepesi kuirejesha afya yangu ndani ya muda mfupi.Nilidhani mapaja yangu hayatarejea tena katika hali yake.Mungu ni mwaminifu, kila kitu kiko vizuri kama nilivyokuwa nataka"..Ray C
LULU NAE AANZA KUJICHORA MATATOO-ONA ALIVYO WAPA UJUMBE MAADUI ZAKE KUPITIA TATOO
Tarehe 9/10 kabla hajalala mwigizaji Lulu aliwaonyesha mashabiki zake picha ya tatoo yake mpya ambayo imechorwa juu ya kifua karibu na bega ikiwa ni picha aliyoipost na ikaambatana na maneno yafuatayo.
“Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!! kwa upeo wangu mdogo nafahamu sisi wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…lakini cha kushangaza kuwa watu wako busy kuhukumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo chake, hivi Mungu angetaka kufanya kama wanadamu tunavyofanya tungeangaliana kweli? nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!ONLY GOD CAN JUDGE ME….Gud nyt fam”
Subscribe to:
Comments (Atom)


