Saturday, October 19, 2013

WEMA SEPETU NA DIAMOND SASA PENNY NAYE ALIPA KISASI!!

Raheeem akiwa kwenye pozi na Mwanadada Penny Ama Kweli Mapenzi Kizunguzungu na Ukuyafuatilia Unaweza Ukazimia.Mapenzi ni kama Mchezo wa Karata Ukukosea Kwa Mastaa anakupiku Mwenzako.Hii ni Baada ya Mwanadada Peeny Kuoneakana na Mshakaji ambaye Tulianza Kumuongelea Humu Humu "Raheem Da Prince" Mshkaji na Brothermen aliyemaliza Chuo Kikuu Pale University Of Dar-Es-Salam.Check Picha Yao kwa Pamoja When You DO Me I Do You

No comments:

Post a Comment

Reliable & Affordable Hosting+Web Services