Wednesday, January 15, 2014

Hii ni taarifa ya kusikitisha inayomuhusu Rich Mavoko.

Leo January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo. Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” pamoja na hii caption amepost picha ya rangi nyeusi

No comments:

Post a Comment

Reliable & Affordable Hosting+Web Services