Thursday, October 10, 2013

DIAMOND na WEMA SEPETU ndani ya movie hii "TEMPTATIONS"

Leo ilikuwa kama gumzo katika account ya Instagram baada ya kuonekana picha hizi Diamond akiwa na Wema Sepetu pande za China. Mengi yalisemwa hadi wengine kudiriki kumtukana Penny ambaye ndio wa Diamond lakini ukweli ni kwamba hii ni movie mpya kabisa iliyochezwa na Diamond akiwa na Wema Sepetu na hakuna kingine kinachoendelea tena hapa ni kazi tu. Namnukuu Diamond akiyasema maneno haya Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote? Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana Mnapenda kuona watu wanauadui... nimuda wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania na si kuekeana chuki zisizo nanfaida.. I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA.

No comments:

Post a Comment

Reliable & Affordable Hosting+Web Services