KAMA ULIKUWA HUJUI,BASI HIKI NDICHO WCB TULICHOKIFANYA FIESTA MOROGORO USIKU WA JANA
Msimu wa Fiesta 2013,unaendelea na jana ilikuwa ni zamu ya
watu wa Morogoro kupewa burudani harisi kutoka kwa watoto wa kitanzania,mimi na Crew yangu ya WCB tuliwasili Morogoro mapema mchana na kuungana
na wasanii wenzangu,waliokuwa wameshatangulia.Kiukweli sitochoka
kuwashukuru mashabiki wangu wa Moro kwa sapoti na mapenzi makubwa
waliyoyaonyesha on stage,hawakuniangusha
na hii inazidi kunipa deni la kuaandaa mambo mapya na mazuri zaidi kwa ajili yenu ..nisiongee sana,nakuachia picha ziongee zenyewe!!! Baada ya kuwasili eneo la tukio,nikisalimiana na baadhi ya wasanii waliokuwa wametangulia..
mmh Recho kunitoleaa macho!!Linah anachekelea tu kwa mbali Rommy Jones na Shadee wa Clouds
No comments:
Post a Comment