Hii ni post aliyoiweka Agnes Masogange kwenye ukurasa wake wa FB na imeanza kusambaa kwa kasi kupitia wasanii mbalimbali na mm nimeinasa kwa DJ CHOKA muda huu.
Je yawezekana wametoka?Au ndio zile fununu kuwa wanapiganiwa kesi yao irejee nchini?
Tungoje kama ni kweli ama uzushi
No comments:
Post a Comment