Tuesday, September 17, 2013

JOHARI NA CHUCHU HANS WANAKUNG'UTANA MANGUMI MCHANA KWEUPEEE, KISA PENZI LA RAY!!

Wasanii wa filam nchini kwetu Tanzani Johari na Chuchu Hansi wafumaniana nyumbani kwa msanii mkubwa Ray sinza dar nchini Tanzania na Johari kumtwanga sana Chuchu kwanini anakua na mahusiano ya kimapenzi na mchumba wake basi johari alimjeruhi sana baada ya hapo msanii tishio la jiji akawa amerudi ndio akaokoa ugomvi huo lakini chuchu kaumia.

No comments:

Post a Comment

Reliable & Affordable Hosting+Web Services